
Mara baada ya Rais Magufuli kutangaza msamaha huo, mastaa mbalimbali wameandika na kupost kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kuonesha furaha zao kwa namna tofauti.
Afisa habari wa Simba Haji Manara ameandika upost picha ikimuonesha Papii Kocha iliyoambana na ujumbe ufuatao.
“Nchi imezizima sababu yenu . Mungu ametenda miujiza kupitia kwa Rais wetu..uliitangaza Simba hadi gerezani..ntakuvalisha jezi mpya iliosainiwa na wachezaji wote
…ila Wenger bado hajatwaa taji…. kama ulivyomuacha
”-Haji Manara.
Tupe Maoni Yako