Hiki ni Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Green Warriors katika mchezo wa Raundi ya Pili ya kombe la Shirikisho Azam Sports Federation Cup (ASFC) 2017/2018 Simba wakiwa Bingwa mtetezi.
- Aishi Manula
- Erasto Nyoni
- Ally Shomari
- Yusuph Mlipili
- Juuko Murshid
- Jonas Mkude
- Shiza Kichuya
- Mzamiru Yassin
- John Bocco
- Said Khamis
- Mohammed Ibrahim
AKIBA
- Mseja Emmanuel
- Bukaba Paul
- Moses Kitandu
- Mwinyi Kazimoto
- Kelvin Faru
- Rashid Juma
- Mohammed Hussein
Tupe Maoni Yako