Showing posts with label UEFA. Show all posts
Showing posts with label UEFA. Show all posts

Saturday, December 16, 2017

Mawingu Tz

Pastore Aichana Madrid...Asema Madrid Haiwez Kuinyima Usingizi PSG


KUPANGIWA Real Madrid katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hakuitishi PSG, kwa mujibu wa kiungo wa wababe hao wa Ligue 1, Pastore.
Pastore raia wa Argentina, alisema bado kikosi chake cha PSG kinaupigia hesabu ubingwa wa michuano hiyo licha ya kuwa watapaswa kwanza kuiondosha Madrid.
Nyota huyo anajua wazi kuwa Madrid wamelichua taji hilo mara tatu kwa kipindi cha miaka minne iliyopita lakini alisema PSG ikiwa na Neymar, Kylian Mbappe na Edinson Cavani, haiwezi kuhofia chochote.

“Tunataka ubingwa wa mashindano haya, Real Madrid ni timu nzuri lakini hata sisi ni timu nzuri pia,” alisema Pastore kuwaambia waandishi wa habari.
Hata hivyo, huenda jeuri ya Pastore ilitokana na ushindi wa mabao 4-2 walioupata PSG dhidi ya Strasbourg, matokeo ambayo yaliwapeleka hatua ya robo fainali ya Kombe la Ligi.

Monday, December 11, 2017

Mawingu Tz

Ratiba Hatua ya 32 Bora Kombe La Europa League(FUTUHI) Hii Hapa..Arsenal Inawahusu


Arsenal imepangwa kucheza dhidi ya timu ya Ostersunds ya nchini Sweden katika Hatua ya 32 Bora ya michuano ya Europa League.

Arsenal itawavaa wapinzani wao hao ambao wanafundishwa na Graham Potter ambaye ni raia wa Uingereza.

Atletico Madrid wao wamepangwa kukutana na Copenhagen wakati Borussia Dortmund itakutana na wabishi kutoka Italia, Atalanta ambao waliifunga Everton nyumbani na ugenini katika hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Makocha wawili waliowahi kufanya kazi England wanatarajia kukutana pia katika hatua hiyo wakati ambapo Celtic inayonolewa na Brendan Rodgers itakutana na Zenit St Petersburg iliyochini ya Roberto Mancini.

Kocha Gennaro Gattuso wa AC Milan ataiongoza timu yake hiyo kuivaaa Ludugorets ya Bulgaria.

Ratiba kamili inaonyesha hatua hiyo itachezwa Februari 15 wakati mechi za marudio ni Februari 22, mwakani 2018. 

RATIBA KAMILI YA 32 
Borussia Dortmund vs Atalanta

Nice vs Lokomotiv Moscow

Copenhagen vs Atletico Madrid

Spartak Moscow vs Athletic Bilbao

AEK Athens vs Dynamo Kiev

Celtic vs Zenit St Petersburg

Napoli vs Leipzig

Red Star Belgrade vs CSKA Moscow

Lyon vs Villarreal

Real Sociedad vs Salzbug

Partizan Belgrade vs Viktoria Plzen

Steaua Bucharest vs Lazio

Ludogorets vs AC Milan

Astana vs Sporting Lisbon

Ostersunds vs Arsenal

Marseille vs Braga 
Mawingu Tz

Breaking News:Hatua Ya Mtoano 16 Bora UEFA Yapangwa..Chelsea Na Barca Mwanangu...Tazama Wengine


Thursday, December 7, 2017

Mawingu Tz

Wachezaji Kumi Bora Barani Ulaya Hawa Hapa,,mpaka N'golo Kante Ndani




1. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
2. Lionel Messi (Barcelona)
3. Neymar (PSG)
4. Gianluigi Buffon (Juventus)
5. Luka Modric (Real Madrid)
6. Sergio Ramos (Real Madrid)
7. Kylian Mbappe (PSG)
8. N'Golo Kante (Chelsea)
9. Robert Lewandowski (Bayern)

10. Harry Kane (Tottenham) 
Mawingu Tz

Hawa Hapa Wachezaji Wanaoongoza Kupika Mabao(ASSISTS) Kwenye UEFA Champions League


Mawingu Tz

Mnyama Ronaldo(CR7) Abeba Tena Ballo D’or Na Kufikia Rekodi Aliyoweka Messi


Ukisema amesawazisha si vibaya maana Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo yake ya tano ya Ballon d’Or.


Ushindi huo unamfanya kufikisha tuzo tano sawa na Lionel Messi.






Shughuli ya utoaji tuzo imefanyika katika mnara maarufu wa Eiffel jijini Paris, Ufaransa.

Ronaldo nyota wa Real Madrid na nahodha wa Ureno, alionekana ni mwenye furaha, alipanda jukwaani na baadaye kufuatiwa na mama yake mzazi na mwanaye wa kwanza.
Mawingu Tz

Orodha Ya Wachezaji Wanaoongoza Kwa Kupachika Mabao Msimu Huu Kwenye UEFA Champions League

Mawingu Tz

Hizi Ndo Timu Zilizofuzu Hatua Ya 16 Bora UEFA Champions League


Mawingu Tz

Liverpool Waigeuza Anfield Machinjioni Wakiichapa Spartak Bao 7-0 Ligi Ya Mabingwa Ulaya


LIVERPOOL (4-3-3): Karius 6.5; Gomez 6.5, Lovren 6.5 (Alexander-Arnold 60min, 6), Klavan 6.5, Moreno 6 (Milner 45, 6.5); Coutinho 8.5, Can 7.5, Wijnaldum 7.5; Salah 8, Firmino 7.5 (Sturridge 72, 6), Mane 7.5. 
Subs not used: Mignolet, Henderson, Oxlade-Chamberlain, Solanke.
Scorers: Coutinho 4 (pen), 15, 50, Firmino 18, Mane 47, 76, Salah 86.
Booked: Can.
Manager: Jurgen Klopp 8.


SPARTAK MOSCOW (4-2-3-1): Selikhov 5; Eschenko 5, Tasci 5, Bocchetti 5, Dzhikiya 6 (Pasalic 60, 6); Glushakov 6, Fernando 6.5; Zobnin 6, Luiz Adriano 5, Promes 5 (Samedov 75, 6); Ze Luis 5 (Melgarejo 51, 5). 
Subs not used: Rebrov, Kutepov, Popov, Rocha.
Booked: Dzhikiya, Fernando.
Manager: Massimo Carrera 5.
Referee: Szymon Marciniak (Pol) 7
Attendance: 48,779













Mawingu Tz

Ronaldo Apiga 1, Aubameyang Apiga 2, Madrid Yashinda 3-2, Dortmund Yadondoka Europa League


REAL MADRID: Navas; 6 Nacho 6, Varane 6 (Asensio 38), Ramos 6, Theo 7; Kovacic 6 (Ceballos 58) 6, Casemiro 6, Isco 6 (Llorente 69) 6; Lucas Vázquez 7, Mayoral 7, Cristiano Ronaldo 8
Subs Not Used: Casilla, Benzema, Modric, Marcelo. 
Goals: Borja Mayoral 8, Ronaldo 12, Lucas 81. 


DORTMUND: Bürki; 6 Sokratis, 6 Subotic, 6 Schmelzer; 7 Bartra, 6 Sahin 6 (Weigl 65) 6, Dahoud 6, Guerreiro 6; Pulisic 7, Aubameyang 8, Kagawa 6 
Subs Not Used: Weidenfeller, Zagadou, Isak, Schurrle.
Booked: Bartra.
Goals: Aubameyang 44,49.
Ref: Pavel Kralovec (Czech Republic).











Mawingu Tz

Man City Yaonja Kipigo Ligi Ya Mabingwa Ulaya, Yagongwa 2-1 Na Shakhtar Lakini Yabaki Kileleni

 

SHAKHTAR DONETSK (4-2-3-1): Pyatov 6.5; Butko 6, Ordets 6.5, Rakitskiy 6, Ismaily 7 (Azevedo 64, 6); Stepanenko 6, Fred 6.5; Marlos 7 (Kovalenko 82), Taison 8, Bernard 7; Ferreyra 6 (Khocholava 89). 
Subs: Shevchenko, Dentinho, Patrick, Petriak.
Scorers: Bernard 26, Ismaily 32
Booked: Rakitskiy
Manager: Paulo Fonseca 7


MAN CITY (3-4-3): Ederson 5; Adarabioyo 5.5, Fernandinho 6 (Aguero 70, 6), Mangala 5.5; Danilo 5, Toure 6, Gundogan 6, Foden 6; B Silva 5, Gabriel Jesus 5.5, Sane 6 (Diaz 62).
Subs: Bravo, Walker, Sterling, Aguero, Otamendi, Duhaney.
Scorers: Aguero 90 pen 
Booked: Danilo, Gundogan
Manager: Pep Guardiola 5
Referee: Benoit Bastien (France) 7
Star man: Taison





Mawingu Tz

Matokeo Mechi Zote Za UEFA Jana Usiku Dec 6 2017


Wednesday, December 6, 2017

Mawingu Tz

Ratiba Kamili UEFA champions League Leo Jumatano Decemba 6 2017


NB:Muda ni Saa Za Afika MAshariki

Mawingu Tz

Timu Ambazo Tayari Zimefuzu Kucheza Raundi Ya 16 Bora UEFA Champions League Mpaka Sasa

Timu 12 kati ya 16 zimeshakata tiketi ya kucheza raundi ya 16 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) bado timu nne zitakazofahamika baada ya michezo ya leo.
Mawingu Tz

Matokeo Yote Mechi Za UEFA Champions Leaguea Jana DEC 5 2017 Na Msimamo Wa Makundi



Tuesday, December 5, 2017

Mawingu Tz

Ratiba Kamili UEFA champions League Leo Jumanne Decemba 5 2017

NB:Muda ni Saa Za Afika MAshariki


Champions League – Group A December 5

22:45 Benfica ? – ? Basel
22:45 Manchester United ? – ? CSKA Moscow
Champions League – Group B December 5
22:45 Bayern Munich ? – ? Paris Saint Germain
22:45 Celtic ? – ? Anderlecht
Champions League – Group C December 5
22:45 Chelsea ? – ? Atletico Madrid
22:45 Roma ? – ? Qarabag FK
Champions League – Group D December 5
22:45 Barcelona ? – ? Sporting CP