Friday, December 8, 2017

Mawingu Tz

Hii Hapa Ratiba KAMILI Kombe La CECAFA Leo Ijumaa DEC 8 2017

Ratiba Cecafa leo Desemba 8, 2017
Michuano ya CECAFA senior Challenge itaendelea leo kwa mchezo mmoja wa kundi B kuchezwa mchezo ambao utazikutanisha Uganda ambao ni mabingwa watetezi dhidi ya Sudani ya Kusini.

Uganda  ipo katika nafasi ya tatu ikiwa na point moja pekee kwenye Kundi wakati Sudan wapo nafasi ya nne kwenye kundi wakiwa hawana point hata moja


Tupe Maoni Yako