IKIWA ni wiki chache baada ya kufanya vizuri na ngoma mpya ya Upo Hapo ambayo amegonga na ma-rapaz wenzake ambao ni A.Y na Fid Q, Hamisi Mwinjuma “Mwana FA” au Binamu ameachia video yake mpya ambapo katika wimbo huo amemshirikisha mwanadada, Maua Sama.
Video hiyo mpya imetengenezwa na prodyuza Hermy B (B Hitz)
Video: Studio Space Pictures (South Africa).
Tazama video ya wimbo huo hapa chini
Tupe Maoni Yako