Tuesday, December 5, 2017

Mawingu Tz

Tshishimbi Aungana Na Wenzake, Waanza Mazoezi Ya Gym

Yanga imeanza mazoezi akiwemo kiungo wake, Papy Tshishimbi.

Tshishimbi raia wa DR Congo aliyekuwa majeruhi, ameanza mazoezi na wenzake ambao wanajifua gym.


Kiungo huyo ameungana na wenzake ingawa tayari alianza mazoezi ya gym ikiwa ni programu ya kuanza mazoezi taratibu.

Tupe Maoni Yako