Saturday, December 9, 2017

Mawingu Tz

Kisa Niyonzima Dany Usengimana Wa Singida Utd Kutua Yanga..

Straika wa Singida United  Danny Usengimana,  amewashangaza viongozi wa timu hiyo,  baada ya kusema anatamani siku moja kuwa mchezaji wa Yanga
Imeelezwa kuwa aliekuwa kiungo wa zamani was klabu hiyo ya Yanga, Haruna Niyinzima ndie alimfanya kuiwaza klabu hiyo.

Usengimana ameiambia Goal, Haruna Niyonzima, ndiyo aliyemfanya aipende timu hiyo inayotumia rangi za njano na kijani, pamoja na mafanikio iliyokuwa nayo timu hiyo.
Usengimana mpaka Sasa ameifungia klabu yake magoli 3 katika michezo 11 ambayo klabu hiyo imecheza kunako ligi kuu Tanzania bara.

Tupe Maoni Yako