Saturday, December 23, 2017

Mawingu Tz

INASIKITISHA:post Ya Haji Manara Baada Ya Kufungwa Na Green Warriors

Afisa habari wa Klabu ya Simba HAJI MANARA amekewa kufungwa na Green Warriors huku akiweka wazi kuwa kipigo kile kimemuua kuliko vyote ambavyo vimewahi kutokea toka ameanza kazi Simba.
Simba katika mchezo huo ilikubali kufungwa kwa changamoto ya mikwaju ya penalty 4 kwa 3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1 kwa 1. Huku wachezaji wa Simba Mzamiru Yassin, Mohammed Hussein na Jonas Mkude wakikosa Penati.

Tupe Maoni Yako