Klabu ya Simba mchana huu Imetoa taarifa juu ya safari yao kwenda Mtwara ambapo inatarajia kucheza dhidi ya Ndanda kutoka Mkoani Humo.
Kikosi na msafara mzima wa Simba unatarajia kuondoka kesho Alfarjiri kuelekea Mtwara kwaajili ya Mchezo dhidi ya Ndanda Jumamosi December 30, 2017
Tupe Maoni Yako