Thursday, December 7, 2017

Mawingu Tz

Baada Ya Kutemwa Singida Utd....Atupele Green Apata Timu Nyingine

Baada ya kuachana na Singida United mshambuliaji wa kati Atupele Green amejiunga na Kagera sugar katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo.
Mapema juma hili Singida United walitoa taarifa ya mshambuliaji huyo kuandika barua ya kuomba kuachwa na klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni kutafuta timu itakayompa nafasi ya kucheza zaidi.

Tupe Maoni Yako