Thursday, November 30, 2017

Mawingu Tz

Heee!! Haji Manara kugombea Urais baada ya Rais Magufuli...Aweka Mikakati Mizito

Msemaji wa Klabu ya Soka ya Simba Haji Manara, amesema anampango wa kugombea urais na anaamini atafanikiwa.
Akiongea na Planet Bongo ya EA Radio, Haji Manara amesema kazi zake anazofanya sasa zimemfanya aache hesima kubwa, kitu ambacho kinampa ujasiri wa kufikia uamuzi huo.
“Unajua mi nakwenda kuwa rais wa nchi siku moja, mimi nakwambia Mungu akinipa uhai na majaliwa, nakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania”, amesema Haji Manara.

Tupe Maoni Yako