Sunday, December 10, 2017

Mawingu Tz

Sakata La Juma Liuzio Kutimka Simba Lapamba Moto...Huku Ndo Anapoelekea

Image result for JUMA LIUZIO WA SIMBA SCBaada ya kumsajili kipa, Matecha Mnata kutoka Azam FC , sasa Mbao FC wameingia tena sokoni kuanza mazungumzo na Mshambuliaji wa Simba sc ,Juma Liuzio kwa ajili ya kuongeza nguvu ndani ya timu hiyo.Mbao wameingia katika mchakato huo rasmi kuisaka saini ya nyita huyo wa wekundu wa msimbazi ili kuboresha kikosi chao ingawa timu nyingi za ligi kuu zimeonyesha nia ya kumsajili Liuzio.

Tupe Maoni Yako