Thursday, November 16, 2017

Mawingu Tz

Ridhiwan Kikwete Ataja Orodha Ya Wachezaji Wanne Ambao Ameshauri Yanga Iwasajili..Hawa Hapa

Mbunge wa Chalinze kupitia chama cha Mapinduzi na Mwanachama wa klabu ya Yanga Ridhiwan Kikwete amenena kuelekea Dirisha dogo ambalo limefunguliwa leo rasmi kwa timu za Ligi Kuu, daraja la kwanza na la pili Kuongeza au kupunguza wachezaji katika vikosi vyao.

Ridhiwan ambaye pia ni Mtoto wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete msomaji wa Kwataunit.com  amesema Yanga inahitaji wachezaji wanne Kujiimarisha kwenye Ligi ambao ni mmoja Mshambuliaji, Kiungo wa Ushambuliaji , beki mmoja wa kati na Winga wa Kushoto.

Amesema Tshishimbi anatakiwa acheze kama kiungo mkabaji tofauti na mechi kadhaa ambazo amekuwa akicheza kama kiungo mshambuliaji kwahiyo wanahitaji Kiungo mzuri wa ushambuliaji ili kusaidiana na Tshishimbi.Bofya hapa Then Install Kuona Majina Ya Wachezaji Hao

Tupe Maoni Yako