Thursday, November 16, 2017

Mawingu Tz

Huyu Ndo Straika Hatari Anaetarajiwa Kutua Nchini Muda Wowote Kuanzia Sasa Kujiunga Na Klabu Hii



Chrispin Mugalu 


Kuna habari kuwa mmoja kati ya Mastraika hatari nchini Zambia Chrispin Mugalu anayecheza katika klabu ya Lusaka Dynamos yupo katika Rada za Azam Fc ambao kwasasa wanahaha kuhakikisha wanapata Mrithi sahihi wa Yahya Mohammed ambaye alisitishiwa Mkataba na Azam Fc.
Straika huyo ndiye mfungaji bora wa Ligi kuu ya Zambia akiwa amemaliza na Magoli 17, TAYARI Azam wapo katika Mazungumzo naye na muda wowote Huenda akapewa jezi na wana Lamba Lamba Azam Fc.

Tupe Maoni Yako