Saturday, December 9, 2017

Mawingu Tz

PICHA: Babu Seya na Papii Kocha walivyotoka gerezani leo

MASAA kadhaa baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kutangaza msamaha kwa wanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye Papii Kocha, wawili wameondolewa rasmi gerezani na kuachiwa huru.
Hizi hapa ni picha zinazoonesha matukio wakati wakitoka gerezani.


Tupe Maoni Yako