KIUNGO wa Schalke, Leon Goretzka, ni kama amezitega timu za Manchester United, Arsenal na Barcelona, baada ya kusema kuwa atazipa jibu ifikapo Januari mwakani.
Vigogo hao watatu kwa sasa ndio wanaotajwa kumwania nyota huyo.
liverpool pia wanamuwinda kiungo huyo
Tupe Maoni Yako