Kikosi cha Tanzania Bara dhidi ya Kenya 11 december 2017
Hiki ni kikosi cha Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) Kinachoanza leo dhidi ya Kenya leo 11 December 2017. Mechi Itaanza saa kumi Kamili muda wa Afrika Mashariki (Tanzania Kenya na Uganda)
Kikosi kamili. 1. Peter Manyika Jr 24
2. Himid Mao Mkami 7
3. Gadiel Michael Mbaga 2
4. Kennedy Wilson Juma 6
5. Erasto Nyoni 4
6. Jonas Mkude 20
7. Abdul Hilal Hassan 13
8. Abdallah Hamisi Riziki 8
9. Daniel Lyanga 9
10. Ibrahim Ajib Migomba 10
11. Shizya Ramadhan Kichuya 16
Wachezaji wa akiba
1. Ramadhan Kabwili 17
2. Boniface Maganga 3
3. Mohamed Hussein 14
4. Muzamiru Yassin 19
5. Yahya Zayd Omary 21
6. Yohana Mkomola 11
7. Aman Peter Kyata 23
8. Raphael Daudi Loth 15
Tupe Maoni Yako