Saturday, December 2, 2017

Mawingu Tz

Haya Hapa Makundi Ya Kombe La Dunia 2018...Lipi Kundi La Kifo?


Leo nchini Urusi kulifanyika hatua ya kupanga makundi ya michuano ya kombe la dunia inayotarajiwa kuanza nchini humo mwezi Juni, 2018.
Hamu ya mashabiki kutoka bara la Afrika ilikuwa kufahamu timu kutoka barani humo zimepangwa na timu gani.
Zoezi hilo limekamilika Ijumaa jioni na hivi ndivyo makundi hayo yalivyopangwa;
KUNDI A: Urusi, Saudi Arabia, Uruguay, Misri.
KUNDI B: Ureno, Spain, Morocco, Iran
KUNDI C: France, Australia, Peru, Denmark.
KUNDI D: Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria
KUNDI E: Brazil, Switzerland, Costa Rica, Serbia.
KUNDI F: Germany, Mexico, Sweden, South Korea
KUNDI H: Poland, Senegal, Colombia, Japan
Mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo itakuwa kati ya wanyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia

Tupe Maoni Yako