Friday, December 22, 2017

Mawingu Tz

Habari Njema Kutoka Yanga Leo Ijumaa Dec 22 2017-Kamati Ya Maangamizi

Kamati ya Utendaji ya Yanga leo imetangaza kuunda kamati mpya ya mashindano,ambapo nafasi ya Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Hussein Nyika huku makamu wake akiteuliwa Samuel Kumay.

Mmoja wa wajumbe walio kati hiyo ni Shija Richard ambaye aligombea Urais wa TFF lakini akashindwa na Wallace Karia.

Wajumbe wengine katika kamati hiyo yenye watu 23 ni Omary Chuma,Hussein Ndama, Majid Seleiman, Mussa Katabaro,Yusuphed Mhandeni, Beda Tindwa na Jackson Maagi.



Wengine watakaoisaidia kamati hiyo ni Lameck Nyambaya, Nicko Meela, Edward Urio, Rogers Gumbo, Ediger Mutani,  Sanga Kayanda Hamad Islam, Pascal Kihanga na Isiaka Sengo.


Pia kuna wangine kama Bahati Mwaseba,Rashid Msinde Khalfani Kigwelembe,Yanga Makanga Rogers Lamlembe na Leonald Chiganga.

Tupe Maoni Yako