Tuesday, December 12, 2017

Mawingu Tz

Habari Mpya Asubuhi Ya Leo Kutoka Simba Kuhusu MO Ibrahim.. Anabaki AU Anasepa?

Klabu ya Simba imemalizana na mchezaji wake Mohamed Ibrahim na kukubaliana kumuongezea mkataba.

Ibrahim maarufu kama Mo Ibrahim, alitarajia kuongeza mkataba jana  mchana.

“Ilikuwa ni jana  mchana, sijajua imekuwaje lakini kila kitu kimemalizika na makubaliano ya kila kitu yameenda vizuri.

“Suala la kusaini mkataba ndiyo lilibaki na sasa hakuna hofu tena,” kilieleza chanzo.


Kumekuwa na taarifa kwamba, Mo Ibrahim anaweza kuondoka Simba, ikiwa ni baada ya mkataba wake kwisha.

Tupe Maoni Yako