Saturday, December 9, 2017

Mawingu Tz

Simba Nao Wamtangaza Mchezaji Wao Bora Wa Mwezi November

Simba imemtangaza kipa wake Aishi Manula kuwa mchezaji bora wa Novemba wa kikosi hicho.

Manula anachukua nafasi hiyo ya mchezaji bora ambayo hutolewa kila mwezi na uongozi wa Simba.


Uongozi wa Simba umeamua kupitisha mfumo huo ili kuendelea kuwapa motisha wachezaji wake katika kikosi chake ili kuhakikisha wanafanya vizuri zaidi.

Tupe Maoni Yako