Saturday, December 9, 2017

Mawingu Tz

Simba Huenda Ikakamilisha Usajili Wa Nyota Huyu, Baada Ya Kuifunga Klabu Iliyoivimbia Yanga.

Klabu ya Simba Huenda Ikakamilisha Usajili Wa straika Mzambia kwa kumsainisha mkataba baada kuonyesha uchezaji wake katika mtanange wa kumpima hapo Jana.
Straika huyo ajulikanae kwa jina la Jonas Sekuhawa aliichezea klabu hiyo yenye makazi yake mitaa ya msimbazi na kuifungia goli la pili kwenye ushindi dhidi ya KMC ambayo iliwashinda wapinzani wa Simba (Yanga) kuifunga, katika mchezo huo Simba iliibuka na ishindi was goli 3-1.
  • Kwa upande was mashabiki licha ya kua mchezaji huyo kuifungia Simba wait wameenda mbali zaidi na kusema klabu haipaswi kuchukua uamuzi wa kumpa mkataba  Bali ifanye upembuzi yakinifu katika michezo yake ya nyuma ili kujirdidhisha.

Tupe Maoni Yako