Friday, December 1, 2017

Mawingu Tz

Mwamuzi Jonesia Rukyaa Ala Shavu Sasa Kuchezesha Kombe La Dunia

Mtanzania Jonesia Rukyaa Kabakama ameteuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), kuchezesha fainali zijazo za Kombe la Dunia kwa wanawake (Algarve Cup) zitakazofanyika nchini Ureno, mwezi Februari, mwakani.
Mwamuzi huyo ambae ndie mwamuzi wa kike aliefanya vizuri kutokea Tanzania katika kuzitafsiri Zile Sheria 17 za Soka .

Tupe Maoni Yako