Saturday, December 9, 2017

Mawingu Tz

Man City Na Liverpool Zinapambana Kuipata Saini Ya Kiungo Hatari Wa Nice Michael Seri

Manchester City na Liverpool zinapambana kuipata saini ya kiungo wa Nice Jean Michael Seri, kwa mujibu wa Daily Mail .Muaivory Cost huyo alihusishwa na tetesi za kutaka kutua Barcelona majira ya joto, lakini kwa sasa yupo tayari kutua Uingereza..

Tupe Maoni Yako