Saturday, December 16, 2017

Mawingu Tz

Ferooz Aachia Ngoma Mpya – Najaribu…. Itazame Hapa

LEGENDARI wa muziki wa Bongo Fleva, Ferooz ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Najaribu’. Mkongwe huyo aliyewahi kufanya vizuri na ngoma nyingi miaka ya 2000 ikiwemo Starehe, Barua, Kamanda na nyingine alipotea kwa miaka kadhaa lakini mwezi uliopita aliibuka na ngoma mpya iitwayo Nakaza Roho na hivi sasa amekuja tena na hii Najaribu.

Tupe Maoni Yako