Saturday, December 2, 2017

Mawingu Tz

Okwi Nyota Yazidi Kung'ara Anyakua Tuzo Nyingne

Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi jana ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki nchini Uganda katika tuzo FUFA chini ya udhamini wa Airtel.
Okwi amefanya vizuri kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda. Msimu wa 2016/17 ameichezea klabu ya SC Villa ya nchini humo kabla ya kujiunga na Simba mwezi Julai 2017.

Tupe Maoni Yako