Friday, December 15, 2017

Mawingu Tz

Asante Kwasi Asema Ameamua Kufunga Dirisha Kwa Kujiunga Na Simba


Beki Mgahana, Asante Kwasi amesema kuwa wakati dirisha dogo la usajili linafungwa leo, yeye anaona hana ujanja zaidi ya kutua Simba.

Rafiki wa karibu wa Kwasi ameituambia kwamba yeye tayari amekubali kumalizana na Simba.

“Limebaki suala la mkataba na hajui kwa nini Lipuli wanamzuia lakini ana uhakika, amesema atacheza Simba,” alisema.


Beki huyo aliyetokea Mbao FC kutua Lipuli, amezua mjadala mkubwa kwa kuwa Lipuli FC wamekuwa wakipinga yeye kujiunga na Simba wakidai bado ni mchezaji wao

Tupe Maoni Yako