Monday, December 11, 2017

Mawingu Tz

Fahamu Timu Zilizofuzu Na Ratiba Nusu Fainali Cecafa 2017

nUSU fAINALI cecafa 2017
Fahamu Timu zilizofuzu na Ratiba nusu fainali cecafa 2017
Mara baada ya hatua ya Makundi kumalizika zimepatikana timu mbili kila Kundi zitakazocheza hatua ya Nusu Fainali katika Kundi A Timu zilizofuzu ni Kenya kama mshindi wa Kwanza na Zanzibar kama mshindi wa pili wa Kundi.

Wakati Kundi B Uganda wameibuka kama vinara wa kundi hilo na Burundi kama mshindi wa Pili.
Kwa maana hiyo msomaji wa Kwataunit.com Kenya Atacheza na Burundi wakati uganda akicheza na Zanzibar.
RATIBA YA NUSU FAINALI CECAFA 2017
Nusu Fainali ya Kwanza
Kenya vs Burundi mechi itachezwa 14/12/2017
Nusu Fainali ya Pili
Uganda vs Zanzibar Mechi Itachezwa 15/12/2017

Tupe Maoni Yako